Habari ya jumapili, bila shaka mu wazima. Mimi ni dada mchapakazi, Nina elimu ya masuala ya urembo ,namaanisha nails, makeup and hair. Natamani nifungue biashara lakini imekuwa shida kupata mtaji.kwa sasa nimeona itafute kazi ili niweze kukusanya pesa.
Napenda kuchukua Fursa hii kuomba yeyote ambaye anatamani kufanya biashara ya urembo lakini hana mtu sahihi, basi anitafute Kwa Sasa nipo Dar es salaam lakini nipo tayari kwenda mkoa wowote., endapo tutakubaliana.
Nb: naamini hutajutia, kwa yeyote mwenye uhitaji wa mtoa huduma nilizozitaja tafadhali karibu pm. Asante.