Nahitaji kazi yeyote Dar es salaam au popote Tanzania

Nahitaji kazi yeyote Dar es salaam au popote Tanzania

Joined
Jan 14, 2025
Posts
92
Reaction score
172
Wakuu nipo tayari kwa lolote mwenye mchongo wowote nafanya Ilimrad pesa ztasoma za kutosha, hakuna kufeli toa kazi tupige hela mapambano mwanzo mwisho

Kazi yeyote unayoijua ww kasoro Moja tu ndo haifanyiki nyingne ZOTE baridi tu toeni madil maboss zangu
 
ninavyojua hakuna mtu anaweza fanya kazi yoyote hata kama umekata tamaa kiasi gani...... ww kinachokusumbua ni kukosa mipango ya pesa huenda unazipata ila akili yako bado haijatambua thamani ya maisha hivyo unaweza hata kuliwa kiboga huko unaklelekea
 
kazi ipo ila sema hii mkeo ndy atakutesa zaidi, bora uendelee kubaki na hayo mateso ya sas
 
Back
Top Bottom