cantona255
New Member
- Mar 19, 2023
- 1
- 1
Habarini wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 28 nipo Dar ni camera man video editor na graphic designer pia ni content creator.
Sina kazi kwa sasa, nahitaji kazi yoyote ya kujikimu kimaisha maana kwa kazi za video production bila conmection huwezi pata, hivyo nikaona nitafute kazi yoyote ile ili niweze kununua vifaa vyangu vya production na baadae kuja kujiajiri mwenyewe.
Kazi yoyote nitafanya hata za viwandani ata za usafi, aombeni mnipe connection maana huu mji bila kazi daaaaa hapakaliki wala hapalaliki.