Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
Check PmNitumie namba yako Pm...kunamtu nacho anakiuza cha Chuma..
Ntajarb hii piaKibandani Cha nn? Vaa koti andika wakala tembea kwenye foleni huku na vocha unapiga hela mpaka unazikataa
NAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=
Wakuu mambo vipi?
Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao.
Bei isizidi 200,000/=
Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe
Nipo dar es Salaam/kinondoni
.........!!!
Tafuta meneja wa airtel eneo husika atakupatia kwa bei hiyoNAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=
Wakuu mambo vipi?
Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao.
Bei isizidi 200,000/=
Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe
Nipo dar es Salaam/kinondoni
.........!!!
Airtel wanatoa, nadhani wameamua kujitangaza kwahiyo wanasaidia wafanyabiasharaKwa 200,000 huwezi kupata banda la chuma. Square pipe moja ya 1x1 inauzwa 14,000...sheet laini ya 20G inauzwa 70,000. Niambie hilo banda la chuma la 200,000 huyo mtu katumia kiasi gani kutengeneza, hata kama ni la 4'x4'.
Aah kama ni wenyewe sawa!Airtel wanatoa, nadhani wameamua kujitangaza kwahiyo wanasaidia wafanyabiashara
NijaribuAirtel wanatoa, nadhani wameamua kujitangaza kwahiyo wanasaidia wafanyabiashara
Ukitumia kitu unaeza uza kwa bei pungufu pia mkuuKwa 200,000 huwezi kupata banda la chuma. Square pipe moja ya 1x1 inauzwa 14,000...sheet laini ya 20G inauzwa 70,000. Niambie hilo banda la chuma la 200,000 huyo mtu katumia kiasi gani kutengeneza, hata kama ni la 4'x4'.
Hahaha!Maisha kupambana Mkuu. Hakuna haja ya kuharibu 200,000/= kununua Kibanda, wakati unaweza kupiga pesa kwa kofia ya unyonge.
**Vile vitambulisho bado vipo?
Quote ya nn tena mkuu?"Money is numbers and numbers never end. If it takes money to be happy, your search for happiness will never end."
~ Bob Marley.
wacha kulialia mkuuNAHITAJI KIBANDA CHA M PESA BEI ISIOZIDI 200,000/=.
Wakuu mambo vipi?
Nahitaji kununua kibanda cha m pesa kiwe cha chuma au mbao.
Bei isizidi 200,000/=
Kama unauza au unafahamu anae uza nijulishe.
Nipo Dar es Salaam/ Kinondoni.
Sio kulia lia mfukoni laki mbili ndo ipowacha kulialia mkuu
450k njoo uchukue kibanda