MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
Nahitaji kujua bei ya Kifaa cha kupimia Presha na wapi ntakipata kwa ajili ya kuwa nampima mgojwa wangu kila baada ya siku chache ili kuepusha usumbufu wa kwenda hospital kwa ajili ya ishu hiyo tu. Mgonjwa ana daily doze ya Presha. Hivo nahitaji kuwa najua status / level ya presha yake wakati anaedelea na doze aliyopewa na daktari.