Nahitaji Kifaa cha kupimia Presha , Ntakipata wapi na Bei yake ni Kiasi gani

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
700
Reaction score
630
Nahitaji kujua bei ya Kifaa cha kupimia Presha na wapi ntakipata kwa ajili ya kuwa nampima mgojwa wangu kila baada ya siku chache ili kuepusha usumbufu wa kwenda hospital kwa ajili ya ishu hiyo tu. Mgonjwa ana daily doze ya Presha. Hivo nahitaji kuwa najua status / level ya presha yake wakati anaedelea na doze aliyopewa na daktari.
 
Kuna uzi humu kaka mmoja alikua anauza humu. Aliwalenga new medical students wa Muhimbili.
 
Nahitaji kujua bei ya Kifaa cha kupimia Presha na wapi ntakipata kwa ajili ya kuwa nampima mgojwa wangu kila baada ya siku chache ili kuepusha usumbufu wa kwenda hospital kwa ajili ya ishu hiyo tu. Mgonjwa ana daily doze ya Presha. Hivo nahitaji kuwa najua status / level ya presha yake wakati anaedelea na doze aliyopewa na daktari.
Vipo vingi sana kariako.bei yake inaanzia 87,000 mpaka 150,000 kutegema na brand ya kifaa
 
Uko sahihi,ukenda online mpaka 60,000/- ingawa natia mashaka na ubora wake...
 
ninacho kinachotumia betri nilipewa na mgeni mt Kilimanjaro njoo pm
 
Nahitaji kujua bei ya Kifaa cha kupimia Presha na wapi ntakipata kwa ajili ya kuwa nampima mgojwa wangu kila baada ya siku chache ili kuepusha usumbufu wa kwenda hospital kwa ajili ya ishu hiyo tu. Mgonjwa ana daily doze ya Presha. Hivo nahitaji kuwa najua status / level ya presha yake wakati anaedelea na doze aliyopewa na daktari.

Nashauri utumie digital kwa sababu hizi manual zinahitaji utaalamu kidogo
 
Back
Top Bottom