MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
Kuna uzi humu kaka mmoja alikua anauza humu. Aliwalenga new medical students wa Muhimbili.Nahitaji kujua bei ya Kifaa cha kupimia Presha na wapi ntakipata kwa ajili ya kuwa nampima mgojwa wangu kila baada ya siku chache ili kuepusha usumbufu wa kwenda hospital kwa ajili ya ishu hiyo tu. Mgonjwa ana daily doze ya Presha. Hivo nahitaji kuwa najua status / level ya presha yake wakati anaedelea na doze aliyopewa na daktari.
Kuna uzi humu kaka mmoja alikua anauza humu. Aliwalenga new medical students wa Muhimbili.
Peruz Doctor’s forum ya September last yearUnaukumbuka unipe link yake
Vipo vingi sana kariako.bei yake inaanzia 87,000 mpaka 150,000 kutegema na brand ya kifaaNahitaji kujua bei ya Kifaa cha kupimia Presha na wapi ntakipata kwa ajili ya kuwa nampima mgojwa wangu kila baada ya siku chache ili kuepusha usumbufu wa kwenda hospital kwa ajili ya ishu hiyo tu. Mgonjwa ana daily doze ya Presha. Hivo nahitaji kuwa najua status / level ya presha yake wakati anaedelea na doze aliyopewa na daktari.
Uko sahihi,ukenda online mpaka 60,000/- ingawa natia mashaka na ubora wake...Vipo vingi sana kariako.bei yake inaanzia 87,000 mpaka 150,000 kutegema na brand ya kifaa
Ok ahsanteVipo vingi sana kariako.bei yake inaanzia 87,000 mpaka 150,000 kutegema na brand ya kifaa
Nahitaji kujua bei ya Kifaa cha kupimia Presha na wapi ntakipata kwa ajili ya kuwa nampima mgojwa wangu kila baada ya siku chache ili kuepusha usumbufu wa kwenda hospital kwa ajili ya ishu hiyo tu. Mgonjwa ana daily doze ya Presha. Hivo nahitaji kuwa najua status / level ya presha yake wakati anaedelea na doze aliyopewa na daktari.