Naitwa Fabian
Nipo mwanza
Nina mtaji kidogo hapa kama laki tatu,nahitaji kijana mwenzangu jinsia yoyote mchapa kazi mwenye kiasi kama cha kwangu tuanze biashara ya viatu vya mtumba tunachukulia hapo mlango mmoja,tunatembeza minadani kote kama misungwi,hungumalwa,ngudu,malya,magu na hapo mjini yan hakuna kupumzika labda tukienda kuchukua mzigo tena,mwenye nia na yuko mwanza na yuko tayari tutaftane kwa namba +255765325644 tukutane tuyajenge.nina uzoef wa kazi hii kwa miezi na inalipa
Karibumie nakuja mwezi wa saba nitakutafuta tufanye kazi wote