Nahitaji kijana mwenzangu jinsia yoyote mchapa kazi mwenye kiasi kama cha kwangu tuanze biashara ya viatu

Fabiansk

Member
Joined
Jun 20, 2019
Posts
7
Reaction score
1
Naitwa Fabian

Nipo mwanza

Nina mtaji kidogo hapa kama laki tatu,nahitaji kijana mwenzangu jinsia yoyote mchapa kazi mwenye kiasi kama cha kwangu tuanze biashara ya viatu vya mtumba tunachukulia hapo mlango mmoja,tunatembeza minadani kote kama misungwi,hungumalwa,ngudu,malya,magu na hapo mjini yan hakuna kupumzika labda tukienda kuchukua mzigo tena,mwenye nia na yuko mwanza na yuko tayari tutaftane kwa namba +255765325644 tukutane tuyajenge.nina uzoef wa kazi hii kwa miezi na inalipa
 
N.B,Hakuna kupumzika!

Ongeza mtaji ,laki 3 ni ndogo mno.
Kwa kuanzia si mbaya,sidhan kama kuna mtu anaeweza kuanzia juu tu lazma uanze chini,mi nilianza na mtaj wa laki moja tu,kwaiyo tukiungana wawili tunakua na laki 6 mtaj mkubwa mno huo na mzigo utakua mkubwa tu
 
Back
Top Bottom