Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari Wakuu,
Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television tunavyofanya navyo kazi.

Piga 0713-039 875
 
Back
Top Bottom