Nahitaji kilo 2000 (tani 2) za Sato/Perege fresh kutoka bwawani

Nahitaji kilo 2000 (tani 2) za Sato/Perege fresh kutoka bwawani

tintyeche

Member
Joined
Oct 3, 2021
Posts
9
Reaction score
6
Habarini,

Mimi nahitaji samaki aina ya sato tani 2 kila week biashar endelevu nipo Dar, samaki wa kufugwa uzito kuanzia gram 350, 400 mpaka Kg.
 
Unaweza acha mawasiliano yako kama sio email namba za simu itakuapoa pia
 
Back
Top Bottom