Nahitaji kioo cha Hisence TV inchi 55

Nahitaji kioo cha Hisence TV inchi 55

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Jamani nahitaji kioo cha TV Hisence inchi 55

Nilinunua TV yangu mpya last week, sasa kwa bahati mbaya kioo kimevunjika upande wa juu kulia na kama wino hivi umevuja

Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata Hichoo kioo naomba ani dm

Niko Dar es Salaam
 
Kioo nnacho
 
Kuna fundi mmoja mpemba hivi mitaa ya Aggrey anavyo
 
Jamani nahitaji kioo cha TV Hisence inchi 55

Nilinunua TV yangu mpya last week, sasa kwa bahati mbaya kioo kimevunjika upande wa juu kulia na kama wino hivi umevuja

Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata Hichoo kioo naomba ani dm

Niko Dar es Salaam
Kuna tofauti kati ya "warranty" na "guarantee "[emoji23][emoji23]
 
Kunatofauty kati ya "warranty" na "guarantee "[emoji23][emoji23]

Sijaomba chochote Kati ya warranty wala guarantee nilichoitaji ni kama mtu ana kioo
 
Ushauri, Kama Kuna uwezekano wasiliana hapo uliponunua tv mara nyingi wana mafundi wao wanaweza kukusaidia kupata kioo na kukifix mana mafundi wengi mtaani flat zinawapa shida.
 
Thank you
 
Habari wakuu, naomba mwenye ufahamu wa tv bora za mkulima kati ya blackstone, evvoli, tcl na pinetech anielekeze ipi zaidi.

Pia kama subwoofer za pinetech ziko vizuri naomba kujuzwa
 
TCL bila kusita
 
Asante ndg, vip unaweza kufahamu bei yake kwa inch 24 maana madukan naeza pigwa bei kali nikashindwa kujitetea au nikanunua kwa bei kubwa
Inch 24 hakuna mkuu, jipige ununue standard size kwa sasa 32" utaipata kwa 400K ile ya kawaida. Smart inaanzia 450K ila ni TV za uhakika! Haitakusumbua.
 
Habari wakuu, naomba mwenye ufahamu wa tv bora za mkulima kati ya blackstone, evvoli, tcl na pinetech anielekeze ipi zaidi.

Pia kama subwoofer za pinetech ziko vizuri naomba kujuzwa

Ingia Google
 
Back
Top Bottom