Warranty wakati umeangusha tv mwenyewe?Kama warranty card ipo nenda uliponunua wanakufixia kwa gharama zao
[emoji1] nilidhan imeweka mstari bila tatizo kama aliitupa chini hapo hamna namna.Warranty wakati umeangusha tv mwenyewe?
Kioo nnachoJamani nahitaji kioo cha TV Hisence inchi 55
Nilinunua TV yangu mpya last week, sasa kwa bahati mbaya kioo kimevunjika upande wa juu kulia na kama wino hivi umevuja
Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata Hichoo kioo naomba ani dm
Niko Dar es Salaam
Ukitoka jengo la Simba SC kama unaelekea makutano ya Uhuru/Msimbazi ni mtaa wa pili baada ya huo unafika UhuruMtaa wa Aggrey ndio upi pale Kariakoo?
Kuna tofauti kati ya "warranty" na "guarantee "[emoji23][emoji23]Jamani nahitaji kioo cha TV Hisence inchi 55
Nilinunua TV yangu mpya last week, sasa kwa bahati mbaya kioo kimevunjika upande wa juu kulia na kama wino hivi umevuja
Kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata Hichoo kioo naomba ani dm
Niko Dar es Salaam
TCL bila kusitaHabari wakuu, naomba mwenye ufahamu wa tv bora za mkulima kati ya blackstone, evvoli, tcl na pinetech anielekeze ipi zaidi.
Pia kama subwoofer za pinetech ziko vizuri naomba kujuzwa
Asante ndg, vip unaweza kufahamu bei yake kwa inch 24 maana madukan naweza pigwa bei kali nikashindwa kujitetea au nikanunua kwa bei kubwaTCL bila kusita
Inch 24 hakuna mkuu, jipige ununue standard size kwa sasa 32" utaipata kwa 400K ile ya kawaida. Smart inaanzia 450K ila ni TV za uhakika! Haitakusumbua.Asante ndg, vip unaweza kufahamu bei yake kwa inch 24 maana madukan naeza pigwa bei kali nikashindwa kujitetea au nikanunua kwa bei kubwa