bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,741
Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania.
Naipenda sana nchi yangu na siko tayari kuidhalilisha kwa namna yoyote ile hasa katika nyanja ya papuching.
Itakua machozi jasho na damu, hii nchi ya kiarabu ninayokwenda kupambana nayo jumaamosi papuchi nataka ifuke moshi kama uwimbombo na ulindi. Nataka nishone mpaka boxa ya bendera ya Tanzania, wapi kuna mafundi cherehani wazuri mazee au niende kuishonea VETA?
Viva Tanzania, Viva Bafetimbi. Nataka nifungue mwaka kivietnam sina masihara mpaka nipewe ubalozi wa Tanzania huko UAE(United Arab Emirates)
Msaada wa hicho kitabu tafadhali.
Naomba kuwasilisha,, MBAA MBAAA MBAAA(in makofi ya bunge's voice)