Nahitaji Kiwanja cha kununua

Nahitaji Kiwanja cha kununua

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,048
Reaction score
1,424
habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja
1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali.
2. sqmt zianzie 400
3. budget iwe haizidi milion 5
4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja
5.maji umeme viwe karibu
6.kiwanja kisizidi km 20 kutoka morogoro road
7.siitaji viwanja vya makampuni ya kuuza viwanja naitaji kiwanja cha mtu binafsi anaeuza

kabla ya kununua kiwanja lazima nijihakikishie kwa majirani, serikali za mtaa na hata halmashauri husika kama ni makazi na sio open space au public building au kuna mgogoro, msururu wa madadali siitaji kama unacho njoo pm
 
kabda ya kununua kiwanja lazima nijihakikishie kwa majirani, serikali za mtaa na hata halmashauri husika kama ni makazi na sio open space au public building au kuna mgogoro, mwisho msururu wa madalali mkae pembeni kama unacho njoo pm
Kuwa mwangalifu Sana kwenye suala hili, kuna utapeli mwingi Sana kwenye biashara ya kuuza na kununua Ardhi na nyumba kwa hapa Tanzania. Ikiwezekana watumie wataalamu ili waweze kukusaidia kwenye suala hili kwa sababu suala hili la ununuzi wa Ardhi linahusu Mchakato mrefu ambao unahitaji umakini mkubwa sana.
Aidha, kwa bahati mbaya zaidi na kutokana na uzoefu uliopo, maeneo hayo uliyotaja yanaonekana kuwa ni miongoni mwa maeneo nyeti zaidi ambayo yanapendwa Sana na matapeli wa Ardhi katika Mji wa Dsm.
 
Weka mawasiliano

USSR
 
uangalifu upo asilimia mia lazima nijihakikishie umiliki pia nachukua cordinates naenda halmashauri kujihakikishia matumizi
 
habari wakuu naitaji kiwanja cha kununua maeneo ya kiluvya, kibamba, kimara, hata gobaau madale ndani ndani huko mashart ya kiwanja
1. kiwanja kiwe kinamilikiwa na mwenye kiwanja kihalali.
2. sqmt zianzie 400
3. budget iwe haizidi milion 5
4. gari liwe linafika hadi kwenye kiwanja
5.maji umeme viwe karibu
6.kiwanja kisizidi km 20 kutoka morogoro road
7.siitaji viwanja vya makampuni ya kuuza viwanja naitaji kiwanja cha mtu binafsi anaeuza

kabla ya kununua kiwanja lazima nijihakikishie kwa majirani, serikali za mtaa na hata halmashauri husika kama ni makazi na sio open space au public building au kuna mgogoro, msururu wa madadali siitaji kama unacho njoo pm
mcheki huyu 0717 796978- Kibaha Mpiji jirani na shule ya Mheza
 
Kwanini huhitaji vya makampuni?
 
Mada za viwanja wachangiji ni Wachache, zingekuwa mada za ngono sasa, tusingepumua humu
 
Kwanini huhitaji vya makampuni?
vya makampuni vingi vinakua na sifa izi
1. kwa bajeti yangu kiwanja nitakachopata mji unakua bado maendeleo kama maji na umeme sababu wanachukua mapori na kukata kata viwanja
2. kiwanja kidogo tu bei kubwaa
3.makampuni mengi waongo mfano unakuta wamechukua pori la bagamoyo kiromo wanakata kata viwanja wanauza kumbe ni eneo lipo kwenye hifadhi ya bandari bagamoyo unakuja shtuka umepigwa
4.makampuni yanadanganya vuwanja vimepimwa ukimaliza kulipia hakuna hati wala nn kumbe ni viwanja vya DDC kama kule bunju mpaka raisi kaingilia kati kaamua tu waliojenga wanunue sqm moja kwa sijui buku ika ambao hawajajenga watanunua kama kawaida ivyo unanunua kiwanja mara 2
 
Back
Top Bottom