Nahitaji kuacha kazi nijiajiri

federicofernandez

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
578
Reaction score
392
Ushauri wenu
Nafikiria kuacha kazi nijiajiri na mtaji nnao, kuna kazi nyngine hazipendezi kufanya kama age ikiwa inaendelea kusonga , (npo kwenye kampuni ya betting tena kama cashier nnaebetisha tuu, mshahara ukizidi sana+bonus 250k, lakn nalipwa 200k ).

Je, niache nijitafte biashara ya kufanya? Na ni biashara gani kwa Mtaji 5M?
 
Tafuta mtaa wenye pilika pilika na makazi ya wtu wengi fungua duka la matumizi ya majumbani ila usiweke mtaa wenye maduka mengi ili ukuze mtaji maana Mill 5 sio nyingi kiivo ukicheza utarudi kutugawia pesa zetu wazee tuliotusua mikeka yetu.
Kama shngapi Hivi ndio mtaji mkubwa?
 
Hiyo hela ni get on hands finish on mouth...achana na icho kibarua.

Ukitaka kufanikiwa Step out of your comfort zone uone utakavyokuwa na akili ya kujipekecha kuelekea mafanikio.

Mwl Kambarage mwenye aliachana na uteacher akaenda kufukuzia mitkasi mingine.
 
Nitafute kupitia namba hii nikupe ideas yang ambayo ukiifanya itafanyikisha jambo lako .namba ni 0744939000
 
asante sana mkuu npo njian kufanya hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…