Nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga


tena nahis labda vijijin bora wanaonrkana... huku mijini unamlipa bwana shamba 100000/-
 
HUKOHUKO chamwino ulimo ndo kuzuri Kuna bonde la manchali na chalinze maji mwaka mzima
Chalinze nyama na manchali ni mabonde ya msimu.....
na kwa uchache wa mvua za dodoma, ni changamoto...
 
Kalime zao ghali duniani saffron (zaafaran)
Pekua sana kwenye mitandao
Zao hili hulimwa sana Iran na Spain
Kg moja ni kuanzia milion 4 na kuendelea
Acha urongo Wewe zaafarani kilo moja inauzwa she elfu kumi na sita
 
Umemaanisha wapemba au wapendwa?
 
Acha urongo Wewe zaafarani kilo moja inauzwa she elfu kumi na sita
Hiyo inalimwa wapi ya bei hiyo?
Unaijua saffron wewe
Unaniita muongo
Mimi nanunua na kuuza kila siku na ni ya Spain/Iran
10gm ni £35
Usibishe kwa jambo usilolijua na kwa bei hiyo mimi ntakupa mil 2/kg njoo PM tufanye biashara bila longolongo sawa
 
Mkuu hiyo Bei ya milioni 4 Ni kavu au mbichi mkuu
 
Mkuu hiyo Bei ya milioni 4 Ni kavu au mbichi mkuu
Hii ni bei ya London
Na ni baada ya kukaushwa maana haiuzwi mbichi
Jamaa anabisha wakati mimi nanunua na kuuza kila wakati
Hili zao ni ghali sana na linalimwa sana Iran na Spain
Ni sawa na kumbishia mtu paketi ya sigara sh 3000 na mwingine akakuambia ni £11 kwa paketi sawa na sh 35,000
Soko la kimataifa ndio bei tunazozijua kwa wafanyabiashara wa nje na ni lazima tujue hivyo
Saffron ni stem ya ua ambalo hukaushwa na kuhifadhiwa vizuri ili harufu isipotee
 
Mkuu mbeguvtapata wapi nilime Hilo zao mnunuzi wangu utakuwa Wewe labda useme huhitaji ndo niawauzia wengine.
NB take it serious sio utani tafadhali
 
Mkuu mbeguvtapata wapi nilime Hilo zao mnunuzi wangu utakuwa Wewe labda useme huhitaji ndo niawauzia wengine.
NB take it serious sio utani tafadhali
Kwanza nashukuru kwa kunipa ofa hiyo
Pili, sijajua kama kuna wakulima huko maana ni zao linalotaka uangalizi sana.
Nakuomba ulisome kidogo Google ujiridhishe na ni wapi linaweza kustawi

Mimi nanunua kwa wholesalers huku na kuuza
 
Icho kilimo hakitakunufaisha sababu ya soko. Nimelima sana mimi sema soko ndyo shida
 
Hivi kuna watu mna ulemavu wa kujishughulisha? Acheni excuse za kipuuzi fanyeni kazi mpate inputs kwa gharama zenu wenyewe, serikali haitozi kodi inputs nyingi na hata mazao yakikomaa

Fanyeni kazi acheni kulalama upumbavu kila kitu serikali utafikiri ukifeli maisha serikali itakuhurumia
 
asante kwa ushauri wako mkuu!

lakini naomba ufatilie uhusiano wa input na output kutoka katika serikali yako halafu uje tena uchangie!

soko la mazao na inputs zote halafu urudi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…