makundubhyali
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,389
- 883
Asante mkuu hapa Tanzania vinalimwa wapi?Ni kama viazi vikuu hivi ila vyenyewe vina rangi ya paple; uotaji wake ni kama malando vile .... nilivifahamu kipindi nikimuuguza mgonjwa; niliambiwa vinaongeza damu kwa haraka sana.