NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
DODOMA majengo sokoni karibu na CITY BUTCHER KUNA DUKA LA MBEGUMbegu zake zinapatikana wapi hapa kwetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DODOMA majengo sokoni karibu na CITY BUTCHER KUNA DUKA LA MBEGUMbegu zake zinapatikana wapi hapa kwetu.
Asante mkuuAcha
Uongo mbegu zipo kwenye maduka ya pembejeo
Beetroot tunalima Lushoto Tanga ila huku sijawahi kuona aina nyingine zaidi ya hiyo nyekundu.Ntajitahidi mkuu kuja nazo kama itapita airport
Zina aina nyingi View attachment 862009
Zipo aina nyingi ila huko naona ni aina moja tu lakini kwingine duniani zinapatikanaBeetroot tunalima Lushoto Tanga ila huku sijawahi kuona aina nyingine zaidi ya hiyo nyekundu.
Nimekupata mkuu, ila changamoto kubwa huku kwetu ni soko kwa mfano sasahivi tunanunuzwa sh 500 kg 1, yaan kilimo kibongobongo shida sana.Zipo aina nyingi ila huko naona ni aina moja tu lakini kwingine duniani zinapatikana
Ipo siku na nyie bidhaa zenu zitauzwa Ulaya, ila changamoto ni nyingi sana kwa kweli.Nimekupata mkuu, ila changamoto kubwa huku kwetu ni soko kwa mfano sasahivi tunanunuzwa sh 500 kg 1, yaan kilimo kibongobongo shida sana.
Ipo siku na nyie bidhaa zenu zitauzwa Ulaya, ila changamoto ni nyingi sana kwa kweli.
Bidhaa nyingi za Tz zinaenda jirani na kusafirishwa nje.
Wapendwa nimechoka na ajira za kubangaiza za bongo, nahitaji kuanza kilimo cha zao la beetroots maeneo ya Dodoma, Morogoro, Singida au Shinyanga. Ninachoomba msaada kwa wanajukwaa ni haya maswali hapa;
1. Zao hili linaweza kuhimili hali ya hewa ya haya maeneo na kama sio maeneo yapi ni muafaka kulima hapa Tanzania ( conducive environment to grow beetroots)
2. Ni variety ipi nzuri kupanda katika maeneo haya,
3. Je, ni mambo gani muhimu ya kuzingatia kuweza kuzalisha mazao bora
4. Masoko yake yakoje hapa Tanzania
5. Misimu yake imekaaje? upi mzuri kulima zao hili
Jukwaa hili kubwa, linawatu mahili naomba msaada jamani
Asanteni;
Chamwino Makulu.
Soko la dunia mkuu
Tatizo letu hatuuzi nje kama wengine wanavyofanya
Kampuni yetu tunanunua sana na kuuza
Kwa mfano zao la vanilla ni zao ghali sana na wenzetu Madagascar ndio wauzaji wakuu duniani
Na kilo ya vanilla ni $600 leo hii pia tunauza sana tu lakini nyumbani inalimwa na soko ni duni sana
Haya ndio mazao ya kuchangamkia kama unataka kutengeneza hela
Saffron tunanua lakini kulima kwake kunahitaji dedication ya hali ya juuMkuu mnanunua kweli niingie shamba nilime?
Hakuwa na maana hiyoAcha
Uongo mbegu zipo kwenye maduka ya pembejeo
Kariakoo upstairs zipo tele mbegu za kila aina ya mboga na herbs. Dodoma ukiaenda ile barabara inaenda soko kuu wanakuwa na maduka ya kilimo jaribu kuulizia. It is a long time since I was there hivyo vitu vimebadilika.Acha
Uongo mbegu zipo kwenye maduka ya pembejeo
Mkuu naomba kujua jinsi ya kuotesha Saffron sababu hiki ni kiungo nyeti ingawa watu wengi hawakifahamu. It is a very expensive herb. Je naweza kuiotesha Dar? Niliona Dubai wanauza sana ila sina uhakika kama ni waoteshaji wenyewe.Saffron tunanua lakini kulima kwake kunahitaji dedication ya hali ya juu
Lakini vanilla inalimwa Tz pia tunanunua ya Madagascar kwa bei ya juu sana
Fuatilia tu huwezi kukosa wanunuzi ila nasikia wenye mashamba ya vanilla huko ulinzi ni zaidi ya white house
Kweli ndio kiungo ghali duniani yaani zaidi ya dhahabuMkuu naomba kujua jinsi ya kuotesha Saffron sababu hiki ni kiungo nyeti ingawa watu wengi hawakifahamu. It is a very expensive herb. Je naweza kuiotesha Dar? Niliona Dubai wanauza sana ila sina uhakika kama ni waoteshaji wenyewe.
Vanilla pia ni next to saffron likifuatiwa na ilikiKalime zao ghali duniani saffron (zaafaran)
Pekua sana kwenye mitandao
Zao hili hulimwa sana Iran na Spain
Kg moja ni kuanzia milion 4 na kuendelea
Huwa nanunua vanilla ya Madagascar kwa biashara pia saffron kwa ujumla tunanunua kila kitu ila bongo kiboko huwezi kupata supplier wa uhakika na mkweli.Vanilla pia ni next to saffron likifuatiwa na iliki
I see, nina maua kama haya uliyoweka ndo nimepandikiza ila mbegu nimetoa kwa "Mama" kama unaelewa. Huku nilipo ni mvua nyingi na hakuna baridi hata siku moja the lowest temp. is 25 hivyo nisubiri sana tu.Kweli ndio kiungo ghali duniani yaani zaidi ya dhahabu
Iran na Spain ndio waoteshaji wakubwa
Ingawa Spain ananunua pia kutoka Iran na kuweka nembo yao kama imezalishwa Spain.
Kwanza ni bora kujua inastawi kwa hali gani ya hewa maana najua iran wakati mwingine ni baridi haswa.
Na pili ni kujua utapata wapi hizo mbegu lakini kwa kuwa dunia yote iko kwenye kiganja utapata tu.
Pia ukishapanda utavuna kila msimu kwa miaka 15 kama utaitunza vizuri View attachment 911332
Bukoba vijijini wanalima. Nina aunt wangu analima ila sijui wanauza wapi. Mimi nimeona mche pale kwetu ila mimi na Chocolate na Vanilla mbali mbali hivyo sishobokei hivyo vitu. Harufu tu napata kichefu chefu ila saflon napenda ile kama Sulphur kwangu kama dawa vile.Huwa nanunua vanilla ya Madagascar kwa biashara pia saffron kwa ujumla tunanunua kila kitu ila bongo kiboko huwezi kupata supplier wa uhakika na mkweli.
Madagascar kuna jamaa mhindi unamtumia hela mzigo siku ya 3 unao bila matatizo
Vipi unafanya biashara hii pia
Ni kama viazi vikuu hivi ila vyenyewe vina rangi ya paple; uotaji wake ni kama malando vile .... nilivifahamu kipindi nikimuuguza mgonjwa; niliambiwa vinaongeza damu kwa haraka sana.Mkuu Beetroots ndo zao gani kwa kiswahili, wengine tulikimbia umande mkuu.