Nahitaji kuanza ujenzi naombeni ushauri

Mkuu umetisha sana sema kwa upande wa toilet nataka iwe public hata mgeni akija aende straight
ipo public hapo, halafu kuna hiyo ya master bedroom kwa kuwa ni mzazi na unajua matatizo ya uzee ni bora awe na choo chake umsitiri akifikia hali hiyo
 
Mh mjumbe, kama wazazi walizinguanga na sasa hawaishi pamoja, na hili ndilo nikaleta kutamka kuwa anamjengea "mama". Haijakaa poa?
 
Much respect mkuu.

Kila la kheri!!
 
Mh mjumbe, kama wazazi walizinguanga na sasa hawaishi pamoja, na hili ndilo nikaleta kutamka kuwa anamjengea "mama". Haijakaa poa?
Mh mjumbe, kuzinguana kwa wazazi ni jambo nyeti na gumu sana kwa mtoto kulizungumzia.
Minafikiri kijana anapaswa ajenge nyumba ili paitwe kwao, hii haijalishi kwamba ni kwababa ama kwa mama. Yamkini siku moja wamerudiana, je pale atapaita kwa nani wakati alisha paita ni kwa mama??
Mh mjumbe, binafsi hili limenitokea na ninashkuru Mungu alinuongoza na nikalifanya kama ilivyo mpendeza Allah. Na leo wamekua wakitembeleana baada ya kutengana kwa zaidi ya miaka 25
 
Sawa mh mjumbe nimekupata
 
Milango ya vyumba itakuwa inaelekea sebleni, mpaka hapo aspect ya privacy ktk designing haijazingatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…