Nahitaji kuanza ujenzi naombeni ushauri

Nahitaji kuanza ujenzi naombeni ushauri

Mkuu umetisha sana sema kwa upande wa toilet nataka iwe public hata mgeni akija aende straight
ipo public hapo, halafu kuna hiyo ya master bedroom kwa kuwa ni mzazi na unajua matatizo ya uzee ni bora awe na choo chake umsitiri akifikia hali hiyo
 
Chukua ramani aliyo kutumia mdau hapo chini.
Na kwakua unataka kujenga kijijini sikushauri uanze mambo ya kununua ramani kama mdau mmoja alivyo anza kukushawishi hapa.
Kwa mtazamo nimeona eneo unalo taka kujenga halina slope kubwa sana na hata aina ya udongo sio mbaya sana mkuu.
Mwisho nikukumbushe kwamba ulitakiwa uwajengee wazazi wako (sio mama yako), hata kama wazazi wako walizinguana usiingilie ugomvi wao tafadhali.
Nikutakie kila lakheri na Mungu akufanikishie mipango yako.
Mh mjumbe, kama wazazi walizinguanga na sasa hawaishi pamoja, na hili ndilo nikaleta kutamka kuwa anamjengea "mama". Haijakaa poa?
 
Panapo majaliwa mwaka huu nataka nianze ujenzi mkoani kwetu .

Namjengea mama yangu kama zawadi ya shukurani kwake kwa malezi mazuri .

Sina pesa nyingi ya kujenga kwa mkupuo ila ujenzi wangu nimegawa kwenye phase zifuatazo.
1.kununua materials kama mchanga,kokoto,mawe,tofali,cement

2.msingi
3.boma usawa wa dirisha
4.boma na kumaliza zege kabisa.
5. Kupaua
6.plasta
7.milango na madirisha
8.choo
9.rangi
10.tiles.

Nafanya hivi sababu kipato changu kidogo (tgs c)

Hii ndo design nayoiwaza kwa kuanzia ili mama asiendelee kupanga

Naombeni ushauri wa vipimo natamani sebule iwe kubwa na vyumba vikubwa.

Naombeni estimation ya cost kiwanja ni kikubwa m² 600. Kina nature ya slope japo sio sana .

Ahsanteni nawakaribisha.

View attachment 2616388View attachment 2616392View attachment 2616394
Much respect mkuu.

Kila la kheri!!
 
Mh mjumbe, kama wazazi walizinguanga na sasa hawaishi pamoja, na hili ndilo nikaleta kutamka kuwa anamjengea "mama". Haijakaa poa?
Mh mjumbe, kuzinguana kwa wazazi ni jambo nyeti na gumu sana kwa mtoto kulizungumzia.
Minafikiri kijana anapaswa ajenge nyumba ili paitwe kwao, hii haijalishi kwamba ni kwababa ama kwa mama. Yamkini siku moja wamerudiana, je pale atapaita kwa nani wakati alisha paita ni kwa mama??
Mh mjumbe, binafsi hili limenitokea na ninashkuru Mungu alinuongoza na nikalifanya kama ilivyo mpendeza Allah. Na leo wamekua wakitembeleana baada ya kutengana kwa zaidi ya miaka 25
 
Mh mjumbe, kuzinguana kwa wazazi ni jambo nyeti na gumu sana kwa mtoto kulizungumzia.
Minafikiri kijana anapaswa ajenge nyumba ili paitwe kwa, hii haijalishi kwamba ni kwababa ama kwa mama. Yamkini siku moja wamerudiana, je pale atapaita kwa nani wakati alisha paita ni kwa mama??
Mh mjumbe, binafsi hili limenitokea na ninashkuru Mungu alinuongoza na nikalifanya kama ilivyo mpendeza Allah. Na leo wamekua wakitembeleana baada ya kutengana kwa zaidi ya miaka 25
Sawa mh mjumbe nimekupata
 
Panapo majaliwa mwaka huu nataka nianze ujenzi mkoani kwetu .

Namjengea mama yangu kama zawadi ya shukurani kwake kwa malezi mazuri .

Sina pesa nyingi ya kujenga kwa mkupuo ila ujenzi wangu nimegawa kwenye phase zifuatazo.
1.kununua materials kama mchanga,kokoto,mawe,tofali,cement

2.msingi
3.boma usawa wa dirisha
4.boma na kumaliza zege kabisa.
5. Kupaua
6.plasta
7.milango na madirisha
8.choo
9.rangi
10.tiles.

Nafanya hivi sababu kipato changu kidogo (tgs c)

Hii ndo design nayoiwaza kwa kuanzia ili mama asiendelee kupanga

Naombeni ushauri wa vipimo natamani sebule iwe kubwa na vyumba vikubwa.

Naombeni estimation ya cost kiwanja ni kikubwa m² 600. Kina nature ya slope japo sio sana .

Ahsanteni nawakaribisha.

View attachment 2616388View attachment 2616392View attachment 2616394
Milango ya vyumba itakuwa inaelekea sebleni, mpaka hapo aspect ya privacy ktk designing haijazingatiwa
 
Back
Top Bottom