siwacheusi
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 11
Kwa hiyo boss niongezee kama 1M nyingine ya hiyo vituDuuu! ungejitahidi pesa ya fremu,matengenezo,na kodi take,vitengane na hiyo 2m.Hiyo 2m iwe kwaajili ya biashara tu.
So ikiwa 3M walau inaweza kutosha kuanzisha biashara yangu ndogo ya vipodozi?Ungejiongeza kwenye 3 m kutosha kufanya Kila kitu
Weka pesa upate pesa mtaji mdogo nalo ni jipu uchungu. All the best in business world
1 m uitunie kwenye Kodi na 2 m owe ya mzigo, kama umechagua location nzuri hata mteja hatokuwa na mashaka yakukosa kitu anapopita ukiweka mzigo wa wasiwasi hata wateja watakuwa na hofu ya kukosa baadhi ya vituSo ikiwa 3M walau inaweza kutosha kuanzisha biashara yangu ndogo ya vipodozi?
DuhNdogo sana hiyo