Nahitaji kuanzisha duka la vipodozi kwa mtaji wa milioni 2

Nahitaji kuanzisha duka la vipodozi kwa mtaji wa milioni 2

siwacheusi

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
24
Reaction score
11
Habari wadau!

Naomba ushauri wenu nina mataji wa Milion 2 nataka kuanzisha duka dogo la vipozi kwenye hiyo million 2 ndo itagaramikia vifuatavyo-:
  1. Eneo la biashara
  2. Kodi ya frame kwa miez6
  3. Shelf na kabati
  4. Vipodozi venyewe
  5. Leseni ya biashara
  6. Muuzaji na mm mwenyewe
Nipo Dar Kawe, naombeni ushauri wenu wa hali na mali

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kwa haraka hapo itabaki Milioni moja. Bado haitoishi.
 
Duuu! ungejitahidi pesa ya fremu, matengenezo, na kodi take, vitengane na hiyo milioni 2. Hiyo milioni 2 iwe kwaajili ya biashara tu.
 
Ungejiongeza kwenye 3 m kutosha kufanya Kila kitu
Weka pesa upate pesa mtaji mdogo nalo ni jipu uchungu. All the best in business world
 
Ungejiongeza kwenye 3 m kutosha kufanya Kila kitu
Weka pesa upate pesa mtaji mdogo nalo ni jipu uchungu. All the best in business world
So ikiwa 3M walau inaweza kutosha kuanzisha biashara yangu ndogo ya vipodozi?
 
So ikiwa 3M walau inaweza kutosha kuanzisha biashara yangu ndogo ya vipodozi?
1 m uitunie kwenye Kodi na 2 m owe ya mzigo, kama umechagua location nzuri hata mteja hatokuwa na mashaka yakukosa kitu anapopita ukiweka mzigo wa wasiwasi hata wateja watakuwa na hofu ya kukosa baadhi ya vitu
 
Unaweza kuona jamaa wanakukatisha tamaa ila kiuhalisia hiyo hela ni ndogo kweli
 
Back
Top Bottom