Nahitaji kuanzisha hii biashara ushauri kwenu

Nahitaji kuanzisha hii biashara ushauri kwenu

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
habari wana jf mimi ni mjasiliamali ambae nimepiga hatua katika biashara yangu ya kwanza.
Ninamiliki kiwanda kidogo cha kuzalisha viatu vya kimasai kiukweli nashukuru kwa hatua niliyo fikia japo haikuwa rahisi . Haya ni moja ya mafanikio biashara kuweza kuzalisha biashara sio mchezo.
*Nimefikilia nimeona nianzishe biashara ya kuuza maji kwenye bajaji (toyo)
MSAADA:
KAMA UNAFAHAMU SEHEMU WANAPO NUNUA NDOO KUBWA YA MAJI SHILINGI 500 NAOMBA NISAIDIE KUNITAARIFU.
POPOTE PALE MIMI NITAFIKA. KARIBUNI
download.jpg
 
Wilaya ya kibondo mkoa wa Kigoma dumu Moja la Lita 20 linauzwa Kwa Tsh kuanzia 700,hadi 1,000/=
 
habari wana jf mimi ni mjasiliamali ambae nimepiga hatua katika biashara yangu ya kwanza.
Ninamiliki kiwanda kidogo cha kuzalisha viatu vya kimasai kiukweli nashukuru kwa hatua niliyo fikia japo haikuwa rahisi . Haya ni moja ya mafanikio biashara kuweza kuzalisha biashara sio mchezo.
*Nimefikilia nimeona nianzishe biashara ya kuuza maji kwenye bajaji (toyo)
MSAADA:
KAMA UNAFAHAMU SEHEMU WANAPO NUNUA NDOO KUBWA YA MAJI SHILINGI 500 NAOMBA NISAIDIE KUNITAARIFU.
POPOTE PALE MIMI NITAFIKA. KARIBUNI

Goba wananunua maji 500 huwa naona hata hizi gari za dawasa zinakuja kuuza.
 
Nenda kigamboni hivi mbona hata goms maji dumu yanauzwa jero
 
Mkuu tafuta wateja kuanzia mbezi Goba kule ndani ndani mpaka msakuzi. Japo mradi wa maji utakamilika soon huko napo.
 
Mkuu nahitaji nijifunze jinsi yakutengeneza viatu vyakimasai unaweza nisaidia ili namimi nifungue kiwanda kidogo huku nilipo
 
Back
Top Bottom