napatikana dar gongo la mboto mkuu.Location yako wapi boss
asante mkuu ngoja nipafanyie kaziKibondo ni 700 hadi 1,000/= nenda kapige hela
Kibondo ya wapi mkuu?Kibondo ni 700 hadi 1,000/= nenda kapige hela
Kibondo ni 700 hadi 1,000/= nenda kapige hela
habari wana jf mimi ni mjasiliamali ambae nimepiga hatua katika biashara yangu ya kwanza.
Ninamiliki kiwanda kidogo cha kuzalisha viatu vya kimasai kiukweli nashukuru kwa hatua niliyo fikia japo haikuwa rahisi . Haya ni moja ya mafanikio biashara kuweza kuzalisha biashara sio mchezo.
*Nimefikilia nimeona nianzishe biashara ya kuuza maji kwenye bajaji (toyo)
MSAADA:
KAMA UNAFAHAMU SEHEMU WANAPO NUNUA NDOO KUBWA YA MAJI SHILINGI 500 NAOMBA NISAIDIE KUNITAARIFU.
POPOTE PALE MIMI NITAFIKA. KARIBUNI
asante sana mkuu napafanyia kazi.Goba wananunua maji 500 huwa naona hata hizi gari za dawasa zinakuja kuuza.
asante sana mkuuWazo zuri
Mkuu goms dumu 250 hadi 300Nenda kigamboni hivi mbona hata goms maji dumu yanauzwa jero
Karibu sana mkuu unapatikananwapiMkuu nahitaji nijifunze jinsi yakutengeneza viatu vyakimasai unaweza nisaidia ili namimi nifungue kiwanda kidogo huku nilipo
Mkuu nipo victoria hapa dsm nataka kujua mawili matatu kuhusu hiyo biasharaKaribu sana mkuu unapatikananwapi
Karibu nipo gongo la mbotoMkuu nipo victoria hapa dsm nataka kujua mawili matatu kuhusu hiyo biashara
Nenda Pugu, kisarawe, Chole au Vikumburu.napatikana dar gongo la mboto mkuu.