Nahitaji playstation 2 kuazima kipindi cha mwez mzima mwez wa 6. iwe na padi 1 inatosha, na mchezo wa mpira pekee. nina uaminifu wa hali ya juu. na mmiliki ataweza kuja kupaona napoishi. kwa mwenye kujua wanapoazimisha au yeye mwenyewe naomba afunguke. nitashukuru