Nahitaji kuazima playstation 2 kwa anayeazimisha Dar es Salaam

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
846
Reaction score
1,597
Nahitaji playstation 2 kuazima kipindi cha mwez mzima mwez wa 6. iwe na padi 1 inatosha, na mchezo wa mpira pekee. nina uaminifu wa hali ya juu. na mmiliki ataweza kuja kupaona napoishi. kwa mwenye kujua wanapoazimisha au yeye mwenyewe naomba afunguke. nitashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…