chankele kigoma Senior Member Joined Jan 12, 2017 Posts 199 Reaction score 121 Mar 5, 2018 #1 Habari zenu waheshimiwa, kama heading inavosema nahitati kubadirisha jina na hilo jina niwe nalitumia kwenye nyaraka zozote Lakini sijui wapi pakuanzia ili kulibadilisha kihalali Hivo basi naombeni muongozo wana jf
Habari zenu waheshimiwa, kama heading inavosema nahitati kubadirisha jina na hilo jina niwe nalitumia kwenye nyaraka zozote Lakini sijui wapi pakuanzia ili kulibadilisha kihalali Hivo basi naombeni muongozo wana jf
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Mar 5, 2018 #2 Unataka uanze kutumia jina la Mmeo mkuu?
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,361 Reaction score 2,166 Mar 5, 2018 #3 nenda mahakamani utapewa maelekezo kuhusu deed poll ni haki yako.