Nahitaji kubadili jina la mwisho

Nahitaji kubadili jina la mwisho

chankele kigoma

Senior Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
199
Reaction score
121
Habari zenu waheshimiwa, kama heading inavosema nahitati kubadirisha jina na hilo jina niwe nalitumia kwenye nyaraka zozote
Lakini sijui wapi pakuanzia ili kulibadilisha kihalali

Hivo basi naombeni muongozo wana jf
 
Unataka uanze kutumia jina la Mmeo mkuu?
 
nenda mahakamani utapewa maelekezo kuhusu deed poll ni haki yako.
 
Back
Top Bottom