Nahitaji kuchukua mkopo wa miaka minne niwekeze kwenye cryptocurrency

Invest what you can afford to loose.. dont be selfish, usichukue mkopo kwa ajili ya kuinvest kwenye crypto instead weka percent fulani ya kipato chako lets say 5 -10% or kiasi ambacho hakitaathiri maisha yako endapo market itacrash kama ilivyokuwa 2021...
Binafsi nahold pia solana nilibuy ikiwa 24 now nina faida 400%. Good times are expected for crypto in 2024.
Kiasi nilichoinvest kwenye crypto hakiniaffect kitu chochote hata ikitokea market imecrash but kwa upande mwingine mambo yakiwa mazuri in this bull run we will see coins nyingi zikienda mpaka 20x ambapo hata dollar 100 itaweza kukupa mpaka 20m, but pia ata ukiloose let say dollar 100 uliyoinvest kwenye crypto na una kazi ya mshahara sio big deal..
 
Cryptocurrency naichukulia kama investment, na infact over the years imezidi kujiestablish vizuri, na tunapoelekea kwenye ulimwengu huu wa kitechnolojia tutakwenda kuadapt tu matumizi ya crypto sababu zimetengenezwa kusolve challenges ambazo normal currencies zimeshindwa kusolve.
Tukubali, tukatae hii technolojia itapenya tu kama ambavyo technolojia zingine zilivyopenya taratibu.. mfano kipindi watu wanaanza kutumia youtube kama source ya income kama wakina millard kipindi hicho hakuna channel zingine za youtube leo hii youtube imewatajirisha wengi watu wanaoshtuka leo kama you can make money kwenye youtube ni too late.
Social medias tulianza kutumia since 2006 akina my space, mig33, gumchat, facebook , kipindi hicho mpaka twende internet cafe zikaja akina whatsapp na instagram leo hii watu wanafanya biashara kwenye social medias but kipindi enzi hizo hatukuweza kuimagine kama biashara inaweza kufanyika kwenye mitandao.

Leo hii watu wanadapt matumizi ya mitandao kama zoom but ilikuwepo skype miaka na miaka but kipindi hicho tulikuwa tunatumia webcam tunawasiliana mostly na ndugu zetu wa nje ya nchi. Leo meetings watu wanafanya kupitia zoom, tena viganjani mwao kupitima simu za mikononi...

Instead ya kwenda mgodini kuchimba dhahabu ambapo sio kila mtu anaweza kufanya watu wanachimba bitcoin electronically na mtu yeyote anaweza kuinvest hata kwa kiwango kidogo cha pesa na kwa jinsi ilivyotengenezwa zipo bitcoin million 21 tu, which means zina limited supply kadri zinavyochimbwa zinaizidi kupungua hivyo demand inazidi kuongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda..
 
Pesa itakatwa kwenye mshahara coz nimeajiriwa
 
Navokuona unaonekana huna elimu na crypto ....

Unafuata mihemko ya watu kuonesha sarafu flani imepanda ...na kama ungekuwa ume hold ungekuwa umetengeneza pesa ....

Unasikiliza maneno ya watu kuwa nunua Solana ,nunua bonk ,nunua btc ,nunua Shiba inu .....my friend ngonja nikuambie kitu utaenda kupoteza pesa zote na kitakulamba ....

Hakuna mentor anayeweza kuonesha sarafu itakayopanda next Zaidi ya wewe mwenyewe kusoma Zaidi na kuweza kuelewa hizi sarafu ....

Elimu elimu elimu ....hio pesa unaenda kuipoteza Kwa sababu unaenda kutegemea Akili za kuambiwa na watu kutengeneza pesa kitu ambacho hutakuja kufanikiwa ....

Kama huna elimu ,hio Dolla elfu tatu unayotaka kuweka kwenye crypto itapotea unaiona ...ila kama ungekuwa na elimu hio Ni pesa nzuri Sana Kwa kutrade mpaka kusahau Kazi yako ...
 
As far as I know kukopa ili ukawekeze kwenye financial markets ni kosa kubwa kama ilivyo kukopa alafu ukaenda kustake mkeka pale betpawa, another thing to remember kuingia sokoni kwa kuwa umeona market is bullish basi na wewe ndio uingie is like to commit suicide, you should have made analysis before get in to the market earlier sasa ungekuwa unakula profit tu. A little advice from a little stupid me, fanya analysis ili ujue soko linaenda kuwa bullish or bearish, then invest the amount of money you can afford to lose, sio mkopo.....
Naomba kuwasilisha.... mbwa mimi pumbavu zangu.
 
una mawaz mazuri ila unayatumia vibaya mkuu, unapozungumzia cryptocurrency unazungumzia high risk en volatily market, wakati unaitazama solana peke yake kweny side ya bullish try to think kuhusu how bitcoin went from $69K to less than $20K, unapotaka kufany investment kweny crypto or unapotaka kua fx trader then make sure hautumii pesa yyte ya mkopo wala haukopi ili kufanya hiz biashara, juzi mtu kapoteza more than $100K kwenye project ya $ANALOS vivo hivyo kuna mtu kapiga $1M from $1K investment kweny the same project, this is hw crypto work, wakati unawaza kwamba next bullrun sitak nikose pesa so lazima nikope, jiulize kwanza je, uko na team sahih unayoshilikiana nayo kuelew kwamb hio project ndio na hii sio..!? coz the tym of serious bullrun pia zinaibuka millions of scam coins just to scam ur money ulishajiuliza itakuaj kama utakua miongon mwa watakoiamin project ambay itakimbia..!? so ushauri wang, jitahid sana usikope kuwekeza huku, au la kama unakopa then kopa kwa lengo la kuwekeza kupata maarifa zaidi, na si vinginevyo,
.
mwisho wa yote, ALWAYS REMEMBER TO INVEST wat u can afford to LOOSE, unaposkia do not afraid to take RISK, basi hua tunamanisha DO NOT BE A FOOL NOT TO TAKE CALCULATED RISK
.
#$Bitcoin #Crypto #forex #EarnInUsd #CryptoMessiah
 
Sawa kaka hakika umenifumbua ila project zinajulikana
 
Natafuta pa ku like mara mbili sioni
 
Boss ulifanikiwa kukopa?,

How much?

Uliweka yote kwenye crypto, vipi maendeleo yako mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…