safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
EVen in crypto the slogan say "never put eggs in single pocket"Mfano mwaka huu mwezi wa8 solana ilikuwa 8$ sahv ina $118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EVen in crypto the slogan say "never put eggs in single pocket"Mfano mwaka huu mwezi wa8 solana ilikuwa 8$ sahv ina $118
Invest money that u can afford to lose!
Pesa itakatwa kwenye mshahara coz nimeajiriwaKwanza crypto siyo biashara. Biashara ni exchange of values. Una nguo kuna mtu ana shida na nguo anakupa hela una mpa nguo..umetatuta tatizo lake. Kuna mtu ana mandevu mengi na nywele una mnyoa anakupa hela...mna exchange thamani.
Sasa kwenye crypto una exchange thamani gani na nani?
Hizi crypto zinaanza kidogo kidogo...baadae wanapandisha thamani then nyie mnadhani demand ni kubwa mnakimbilia kununua kumbe hakuna demand yoyote. Mara pap wanazima server wana lala mbele.
Pili, mikopo ya bank unalipa kila mwezi. Hauwezi ku hold pesa ya bank mwaka mzima ndo ulipe. Unakopa leo, mwezi ujao unaanza kulipa deni kidogo kidogo. Je utatoa wapi hizo hela za kulipa deni wakati pesa uliyokopa haizinguki..yaani ume mkabidhi mtu akushikie hoping that thamani yake itaongezeka. Hivyo utashindwa kulipa mkopo.
Mwisho binafsi nimeona watu wengi sana wamejitumbukiza kwenye crypto na forex na aijawahi kuona hata mmoja amefanikiwa.
Zinafika ila nataka nichukue wa muda mfupi wa dola ef3Je mkopo wako unafika dola ngapi ?
Dola alfu kumi zinafika ?
YouR.I.P
una mawaz mazuri ila unayatumia vibaya mkuu, unapozungumzia cryptocurrency unazungumzia high risk en volatily market, wakati unaitazama solana peke yake kweny side ya bullish try to think kuhusu how bitcoin went from $69K to less than $20K, unapotaka kufany investment kweny crypto or unapotaka kua fx trader then make sure hautumii pesa yyte ya mkopo wala haukopi ili kufanya hiz biashara, juzi mtu kapoteza more than $100K kwenye project ya $ANALOS vivo hivyo kuna mtu kapiga $1M from $1K investment kweny the same project, this is hw crypto work, wakati unawaza kwamba next bullrun sitak nikose pesa so lazima nikope, jiulize kwanza je, uko na team sahih unayoshilikiana nayo kuelew kwamb hio project ndio na hii sio..!? coz the tym of serious bullrun pia zinaibuka millions of scam coins just to scam ur money ulishajiuliza itakuaj kama utakua miongon mwa watakoiamin project ambay itakimbia..!? so ushauri wang, jitahid sana usikope kuwekeza huku, au la kama unakopa then kopa kwa lengo la kuwekeza kupata maarifa zaidi, na si vinginevyo,Habari zenu wanajamvi,
Mm ni mmojawapo wa watumiaji na wawekezaji wa sarafu za mtandao( cryptocurrency) pia ni mwajiliwa wa taasisi fulani, katika kipindi hiki cha bullish naona sarafu zinapanda sana na mimi sina mtaji wa kununulia.
Ila nilikuwa nina wazo moja nahitaji nikachukue nkopo wa miaka minne niwekeze kwenye sarafu ili pale zitakapopanda tu naenda bank na kulipa pesa yao, je mnaonaje hilo wazo wadau nipo sawa au napote, ushaur wenu please
Sawa kaka hakika umenifumbua ila project zinajulikanauna mawaz mazuri ila unayatumia vibaya mkuu, unapozungumzia cryptocurrency unazungumzia high risk en volatily market, wakati unaitazama solana peke yake kweny side ya bullish try to think kuhusu how bitcoin went from $69K to less than $20K, unapotaka kufany investment kweny crypto or unapotaka kua fx trader then make sure hautumii pesa yyte ya mkopo wala haukopi ili kufanya hiz biashara, juzi mtu kapoteza more than $100K kwenye project ya $ANALOS vivo hivyo kuna mtu kapiga $1M from $1K investment kweny the same project, this is hw crypto work, wakati unawaza kwamba next bullrun sitak nikose pesa so lazima nikope, jiulize kwanza je, uko na team sahih unayoshilikiana nayo kuelew kwamb hio project ndio na hii sio..!? coz the tym of serious bullrun pia zinaibuka millions of scam coins just to scam ur money ulishajiuliza itakuaj kama utakua miongon mwa watakoiamin project ambay itakimbia..!? so ushauri wang, jitahid sana usikope kuwekeza huku, au la kama unakopa then kopa kwa lengo la kuwekeza kupata maarifa zaidi, na si vinginevyo,
.
mwisho wa yote, ALWAYS REMEMBER TO INVEST wat u can afford to LOOSE, unaposkia do not afraid to take RISK, basi hua tunamanisha DO NOT BE A FOOL NOT TO TAKE CALCULATED RISK
.
#$Bitcoin #Crypto #forex #EarnInUsd #CryptoMessiah
Leo July 19, 2024 :Mfano mwaka huu mwezi wa8 solana ilikuwa 8$ sahv ina $118
Good for youBinafsi nahold pia solana nilibuy ikiwa 24 now nina faida 400%. Good times are expected for crypto in 2024.
Natafuta pa ku like mara mbili sioniHujakosea kuwaza hivyo mkuu King gorani .. na umefanya heri sana kuuliza kabla hujajitosa.
Tuanzie apo kwenye mkopo, ili mkopo usikudumaze au usikufanye mtumwa nashauri, usikope ili uanzishe biashara, Utakwama unless kama una ujuzi mkubwa wa fedha..
unakopa pale ambapo unaona kabisa unaimudu biashara yako na inaenda vizuri na kuna uhitaji wa kuipanua. Mf.Wateja wamekua wengi.. na utakopa kiwango ambacho hii biashara yako inaweza kulipia rejesho la kila mwez la huo mkopo. Just a note!
Mimi ni mhanga mkubwa wa cryptocurrency na forex, maana i dropped out school for this. And i deeped myself into it for a year and so.. crypto is real and you can make money bro..
ila alot of scummers, kuna coins ambazo they even don't exist, so you better be careful.
Ushauri wangu i. Jifunze trend ya iz crypto.. zina fluctuate sana, know when to buy, when to hold and when to sell ii. Know Safe wallet to store your coins iii. Make sure the currency you buy can be exchanged for bitcoin iv. Don't be a fool enough to work on people's opinion rather work on facts.. utashauriwa sana nunua hii after 2yrs itakua more than $1000. v. chukua ushauri kwa waliofanikiwa kupitia crypto. vi. Epuka HYIP ( google utapata maana yake) mf. MTFE ..iz sio crypto wala fx, Never be bought easily
Binafsi nimeacha hizi online schemes 4yrs ago maana ata nilikua nikipoteza pesa hakuna nilichokua najifunza.. ila tokea nimeingia kitaa kupambania kombe nimejifunza vingi sanaa katika biashara, ata nikipoteza najifunza kitu.. nimeuza ad barafu na nime make alot of money than I did make in crypto and fx..
Lastly, Decide your way and be bold enough to win.
Dubai sehem nyingi tu wanaruhusu crypto nchi nying tu unabadili unapewa fiatWatu wengi hawana Uelewa na Cryptocurrency, Ukishakuwa nazo unaenda kuzitumia wapi?
ulishwahi?Dubai sehem nyingi tu wanaruhusu crypto nchi nying tu unabadili unapewa fiat
Dubai sehem nyingi tu wanaruhusu crypto nchi nying tu unabadili unapewa fiat