Nahitaji kuchukua mkopo wa miaka minne niwekeze kwenye cryptocurrency


Nimependa ushauri wako mkuu.
You are not bias but logical and straight to the fact without despise or sarcasm.....
 
Ata, ad, iz ❌
 
Kama ana akili atafwata huu ushauri. Nimeshangaa sana anataka nunua crypto zikiwa kwenye bullish trend!
 
Nilifanya jambo la maana sasa hivi nina faida ya dola 4600 niliweka dola 1800, nasubiri zifike dola 20000, nitoke sokoni
Kaka from experience usiwe greedy fanya break even Kisha acha faida iendelee kutumika
 
Mkumbushe ajiepushe na influencers wa youtube. Wanapush crypto za aina nyingi tu mwisho wa siku watu wanalia.. kuna crypto mpaka walikuwa wana sponsor america football.. hadi ikawa endorsed na wafanyabiashara wakubwa hadi jamaa wakaitwa kwenye dhifa za ikulu kipindi obama yupo

Kumbe scam kubwa tu jamaa anajifanya very humble anatembelea honda civic used .. watu wakaja kulia

Mwambie crypto assifanyie kama side hustle anatakiwa awekeze mda wa kutoaha kuifanyia research..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…