Kulwa Paschal Martin
Member
- Apr 20, 2024
- 25
- 26
Hujakosea kuwaza hivyo mkuu King gorani .. na umefanya heri sana kuuliza kabla hujajitosa.
Tuanzie apo kwenye mkopo, ili mkopo usikudumaze au usikufanye mtumwa nashauri, usikope ili uanzishe biashara, Utakwama unless kama una ujuzi mkubwa wa fedha..
unakopa pale ambapo unaona kabisa unaimudu biashara yako na inaenda vizuri na kuna uhitaji wa kuipanua. Mf.Wateja wamekua wengi.. na utakopa kiwango ambacho hii biashara yako inaweza kulipia rejesho la kila mwez la huo mkopo. Just a note!
Mimi ni mhanga mkubwa wa cryptocurrency na forex, maana i dropped out school for this. And i deeped myself into it for a year and so.. crypto is real and you can make money bro..
ila alot of scummers, kuna coins ambazo they even don't exist, so you better be careful.
Ushauri wangu i. Jifunze trend ya iz crypto.. zina fluctuate sana, know when to buy, when to hold and when to sell ii. Know Safe wallet to store your coins iii. Make sure the currency you buy can be exchanged for bitcoin iv. Don't be a fool enough to work on people's opinion rather work on facts.. utashauriwa sana nunua hii after 2yrs itakua more than $1000. v. chukua ushauri kwa waliofanikiwa kupitia crypto. vi. Epuka HYIP ( google utapata maana yake) mf. MTFE ..iz sio crypto wala fx, Never be bought easily
Binafsi nimeacha hizi online schemes 4yrs ago maana ata nilikua nikipoteza pesa hakuna nilichokua najifunza.. ila tokea nimeingia kitaa kupambania kombe nimejifunza vingi sanaa katika biashara, ata nikipoteza najifunza kitu.. nimeuza ad barafu na nime make alot of money than I did make in crypto and fx..
Lastly, Decide your way and be bold enough to win.
Nimependa ushauri wako mkuu.
You are not bias but logical and straight to the fact without despise or sarcasm.....