GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
Kazi ipo.
Kazi ipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SWALI GUMU SANA MKUUNa mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
Kazi ipo.
Alipokuwa akiwateua haya yote alikuwa hayajui? Jaribuni kuwa mnaficha Ujuha ( Upumbavu ) wenu sawa?Mama apnataka wanajeshi wafanye kazi walio ajiriwa nayo na sio kutengenza maji ya chupa na viwanda hewa vya Mwendazake
Kabudi anamsomea mama magazeti ya kiingereza na kumtafsiria. Mzee wa Isimani yeye anamsimulia mama hadithi za Mtwa Mkwawa Mwamuyinga Mkwavinyika. Kwahiyo wapo karibu sana na mama.Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2956]SWALI GUMU SANA MKUU
Kwani nini msaada wa bi digrii vya kitanzania zaidi ya kupigia michongo.Elimu zao za form six ulitaka ziwafikishe wapi?
Mama anapanga safu mpya kuiondoa ile aliyolazimishwa Baada ya kuapishwa!!Baada ya kufanikiwa kumzima yule aliekua akimbonyeza yeye kama rimoti!!
Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
Kazi ipo.
Acha dharauElimu zao za form six ulitaka ziwafikishe wapi?
thats rubbishMama apnataka wanajeshi wafanye kazi walio ajiriwa nayo na sio kutengenza maji ya chupa na viwanda hewa vya Mwendazake
Usipende kujadili habari za Jeshi hapa JFNa mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
Kazi ipo.
Again, this is just as rubbish.Usipende kujadili habari za Jeshi hapa JF
Kuna mambo sheria za nchi zinatubana
Hata akina Max Melo wanafahamu hilo
Mambo ya Wizara ya ulinzi hapa Tanzania kuna miiko yake na limit zake hata Bungeni
Hao akina Gaguti na Ibughe, Nenda Ngome Upanga pale utawakuta kama Unahitaji kujua
Unafahamu kazi ya Brigedia Jeshini?
Unafahamu kazi za Major general Jeshini?
Unafahamu Tanzania tuna major na brigedia wangapi?
Sio mara ya kwanza wanajeshi kurudi Jeshini kwenda kuongoza
Sio rahisi kufika cheo cha Gaguti Jeshini kwa umri wake ule
Watapigwa chini soon we tulia!!mawaziri bado ni walewale wa rimoti. hawezi kukwepa rimoti
Hakuna kitu pale,hivyo ni vyeo vya kawaida,Wala si vya pekee jeshini,hawana maajabu,kwa nchi hii hivyo vyeo unaweza pewa kwa mchongo tu,kama USA habari za jeshi lake zipo wazi sana na shughuri wanazofanya,sembuse jeshi la ulimwengu wa tatu,hao ma "brigedia"ni wakawaida tu,hakuna jeshi lenye mfumo wa Rushwa kama Hili letu,mtu wa kidato Cha SITA anapewa kiapumbele akasomee uafisa kuliko mtu mwenye degree!!ukiuliza unapewa sababu za hovyo kabisa za mwaka 47!!ohhh huyu mwenye shahada anaelimu ya ziada anaweza akaondoka jeshini!!!Usipende kujadili habari za Jeshi hapa JF
Kuna mambo sheria za nchi zinatubana
Hata akina Max Melo wanafahamu hilo
Mambo ya Wizara ya ulinzi hapa Tanzania kuna miiko yake na limit zake hata Bungeni
Hao akina Gaguti na Ibughe, Nenda Ngome Upanga pale utawakuta kama Unahitaji kujua
Unafahamu kazi ya Brigedia Jeshini?
Unafahamu kazi za Major general Jeshini?
Unafahamu Tanzania tuna major na brigedia wangapi?
Sio mara ya kwanza wanajeshi kurudi Jeshini kwenda kuongoza
Sio rahisi kufika cheo cha Gaguti Jeshini kwa umri wake ule
Ulikimbia jeshi baada ya kumaliza UD ?,ulikua na cheo ganiHakuna kitu pale,hivyo ni vyeo vya kawaida,Wala si vya pekee jeshini,hawana maajabu,kwa nchi hii hivyo vyeo unaweza pewa kwa mchongo tu,kama USA habari za jeshi lake zipo wazi sana na shughuri wanazofanya,sembuse jeshi la ulimwengu wa tatu,hao ma "brigedia"ni wakawaida tu,hakuna jeshi lenye mfumo wa Rushwa kama Hili letu,mtu wa kidato Cha SITA anapewa kiapumbele akasomee uafisa kuliko mtu mwenye degree!!ukiuliza unapewa sababu za hovyo kabisa za mwaka 47!!ohhh huyu mwenye shahada anaelimu ya ziada anaweza akaondoka jeshini!!!
Stupid stupid stupid,ndio maana tulikimbia jeshi baada ya kumaliza UD kutokana na huo upuuzi
Nonsensical.Usipende kujadili habari za Jeshi hapa JF