Usipende kujadili habari za Jeshi hapa JF
Kuna mambo sheria za nchi zinatubana
Hata akina Max Melo wanafahamu hilo
Mambo ya Wizara ya ulinzi hapa Tanzania kuna miiko yake na limit zake hata Bungeni
Hao akina Gaguti na Ibughe, Nenda Ngome Upanga pale utawakuta kama Unahitaji kujua
Unafahamu kazi ya Brigedia Jeshini?
Unafahamu kazi za Major general Jeshini?
Unafahamu Tanzania tuna major na brigedia wangapi?
Sio mara ya kwanza wanajeshi kurudi Jeshini kwenda kuongoza
Sio rahisi kufika cheo cha Gaguti Jeshini kwa umri wake ule