Nahitaji 'Kudanganywa' zaidi kuwa Maafande akina Mbuge na Gaguti wametumbuliwa kama RC's ili Kupandishwa Vyeo vya Kijeshi

Mkuu achaneni nalo hilo Lipumbavu.
 
Kwamba unatutisha?
Kujadili mambo ya jeshi ni dhambi?
Tuondolee utoto wako, dunia ya leo nini cha kuficha kwa jeshi lenu kwa Nchi yenu masikini masikini.

Mnawaona watanzqnia wote ni waoga waoga.

Kiufupi tu hao watu suala la uongozi ni shida hawaendani na kiongozi wao. Full stop
 
Hey....stop wasting your time with that Certified Fool okay?
 
Lina nini cha ziada hili jeshi lenu mpaka lisijadiliwe katika zama na enzi hizi? Kufunga barabara na kupiga raia mtaa mzima pale mmojawao akifumaniwa na mke wa mtu huko uraiani ama?

Hopulesi!
Huyo Mpumbavu nimemdharau hakuna Mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…