Nahitaji kufahamishwa kuhusu 'tank' la kuhifadhia maji

Nahitaji kufahamishwa kuhusu 'tank' la kuhifadhia maji

zbrin

New Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
2
Reaction score
2
Ndugu wana jamii forum.

Naomba mwenye uzoefu wa tank zuri la kuhifadhia maji (Domestic use ) anielezee hapa nayaona mengi kama vile.

Kiboko, Simtank NK.
 
Mtandaoni ni sehemu ambapo unaweza pata maoni mengi kwa watu wenye uzoefu juu ya kitu unachouliza ,

Sio lazima ukinunua kitu ndo utangaze jamani...
 
Back
Top Bottom