*Kama ulikuwa
na michubuko
kwenye
penis naye
akawa nayo
mdomoni chance
ya kuambukizana
ni kubwa.
*Kwa uliyemlisha
manii hata kama
wewe huna
michubuko ila una
maambukizo <kwa mfano>.
Kama ana
michubuko
chance ya
kumwambukiza
ni kubwa.
*Kama wote
hamna
michubuko
chance ya
kuambukizana ni
ndogo.
5 FACTS TO NOTE:
i) Kiasi kikubwa zaidi cha virus hupatikana kwenye damu pamoja na majimaji yatokayo sehemu za siri.
ii) Hakuna uthibitisho unaoonyesha kuwa HIV anapatikana/kusambazwa katika mate (pure saliva).
iii. Even michubuko midogo isiyoonekana/kuhisiwa kirahisi inaweza kutrasmit VVU (katika hali hii chance ni 0.01%)
iv. Ni kipimo sahihi cha HIV pekee ndicho kitakuhakikishia serostatus yako.
v. Suala la kunyonyana hizo sehemu licha ya kuweza kueneza HIV linaweza kueneza kwa urahisi magonjwa ya zinaa. Utashangaa mtu unaugua vidonda vya koo visivyopona,kumbe ndo tayari tena umekunywa neisseria gonorrhoea <pengine>.
TAKE CARE BRODA!