Kupata maji yasiyokuwa na chumvi inategemea na maeneo. Kuna maeneo kadhaa hapa nchini kwetu hata uchimbe kisima cha namna gani lazima maji yawe na chumvi.
Kwa hiyo hii haina guarantee! Inategemea na eneo kwa eneo.
Surface water kama mito ndo mara nyingi huwa inakuwa na maji baridi.