Nahitaji kufahamu kisima cha maji baridi (yaani maji yasiyokuwa na chumvi) huwa kinapatikanaje..?

Reverse osmosis (RO) is a water purificationtechnology that uses a partially permeable membrane to remove ions, molecules and larger particles from drinking water Hapa Tanzania kuna watu wanauza.ukiagiza china zinaanzia $ 3000 ya kuzalosha lita 1000 kwa lisaa.Kama utauhitaji yupo mtu anaunda na yupo cheap nikulink nae.viwanda kama SAYONA,MAJI POWA wamechimba visima na kufunga RO kisha wanapack maji kwenye chupa na kutuuzia mitaani.Wangekuwa wanapack maji ya dawasa bei yake tusingeweza kitaaniView attachment 1072334View attachment 1072334
Kuna mtu utulink ama ndo wewe huyo mtu ??
 
Upo sahihi sana mkuu...
Ndio maana mimi nilijua inawezekana kuchimba kisima moja kwa moja na kupata maji baridi...
Ila nilivyosikia hii habari ya mashine imenikatisha tamaa kiasi,kwasababu ni lazima gharama zitakuwa juu tu..!
Mimi naishi maeneo ya Temeke Kiongozi...
Itakutia hasara labda ungekuwa na gari pick-up au canter ungekuwa unaenda kuyabeba maji ya dawasco Kisha unawapelekea na kuwauzia ingawa sijajua kwa maeneo ya huko Kama Kuna maji ya dawasco.
Huku kwetu tegeta madale watu wanauza sana kwa staili hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zipo zinaanzia 2M. na ni bora kufunga hii kuliko kila baada ya mwaka kubadilisha mabomba na kufulia maji yasiyotakatisha nguo na kuzipausha na kufubahaa
Mkuu naomba specification zake kama hautojali
 
mkuu salama na pia heri ya pasaka..Unatakiwa unipe maji ya kisima chako for chemical analysis.baada ya hapo matokeo yatasema garama.ila usjiali just niletee maji sample kwanza
 
Sijaomba gharama nimeomba specification za hiyo mashine
 
Kila eneo lina chumvi tofauti kwa viwango na aina...au akuna kiwango kikubwa chenye madhara kwa binadamu au Nguo wakati unafua (zinapauka sanaa). So nnatakiwa unitumie maji toka kwenye kisima husika ili kupata PH ya maji yako.baada ya hapo ntayatuma China na hapa Dar esalaam mahabara .tutapata bei mbili ya Dar na China.kisha utachagua unataka wapi Mashine itoke....
 
Upo sahihi sana mkuu...
Ndio maana mimi nilijua inawezekana kuchimba kisima moja kwa moja na kupata maji baridi...
Ila nilivyosikia hii habari ya mashine imenikatisha tamaa kiasi,kwasababu ni lazima gharama zitakuwa juu tu..!
Mimi naishi maeneo ya Temeke Kiongozi...
Vipi ukiweka wazo la kuendesha hiyo RO kwa kutumia nishati ya Solar?
 
Eneo kuwa na maji ya chumvi inategemea na miamba ya eneo husika
Salaam wakuu..!
Nahitaji kufahamu kisima cha maji baridi (yaani maji yasiyokuwa na chumvi) huwa kinapatikanaje..?
Je,inategemea na eneo lako..?
Au ni jinsi/namna ya uchimbaji tu..?
Wataalamu wa hizi mambo naomba mnisaidie kuelewa,maana hapa mtaani kwangu kuna watu huwa wanaenda mbali sana kufuata maji ya kunywa yasiyo na chumvi,nilikua nafikiria kuitumia hii changamoto wanayokutana nayo kama fursa..!
 
Maji chumvi ni yale yanayoinclude (Na, Ca, Mg, K)ions katika chemistry yake.. kujua wapi unaweza pata maji yasio na elements izo kwa wingi kwanza unatakiwa ujue chanzo cha elements hizo kuwepo katika maji..
_ Chanzo kikubwa ni miamba, baadhi ya miamba ina soluble minerals zinazobare moja au zaidi ya elements zilizoorodheshwa juu hapo, na underground water huhifadhiwa kwenye miamba, nadhani utakua umeelewa kwa nn yanakua ya chumvi.
_Chanzo kingine ni mvua, mvua inaponyesha maji yake yana jipenyeza kuingia chini ya ardhi kitendo hichi ndicho huongeza kiwango cha groundwater, wakati wa kijipenyeza hukutana na vitu mbalimbali katika udongo ambavyo hufanya maji hayo yawe contaminated na chumvi hivyo huongeza kiwango cha chumvi.
_Chanzo kingine ni shughuli za kibinadamu kama ukulima, uchimbaji wa madini, viwanda na shughuli nyingine zinazoongeza kiwango cha kemikali zenye elements zinazosababisha chumvi kwenye maji.

Hivyo unatakiwa kujua maji unayoyachimba yamehifadhiwa kwenye mwamba wa aina gani( hydrogeologists wanauelewa katika hili)

ONYO usichimbe kisima kifupi maana utaishia kutumia maji kutoka vyoo vya mtaa mzima[emoji3][emoji2][emoji1]

hii mada nzur sana inaleta uelewa hasa kwa kuwa maeneo mengi ktk nchi yetu n maji yake ni chumvi
 
Vipi kuchimba kisima eneo la dampo la takataka ?
 
Hii shule nmeielewa sana
 
Back
Top Bottom