Maji chumvi ni yale yanayoinclude (Na, Ca, Mg, K)ions katika chemistry yake.. kujua wapi unaweza pata maji yasio na elements izo kwa wingi kwanza unatakiwa ujue chanzo cha elements hizo kuwepo katika maji..
_ Chanzo kikubwa ni miamba, baadhi ya miamba ina soluble minerals zinazobare moja au zaidi ya elements zilizoorodheshwa juu hapo, na underground water huhifadhiwa kwenye miamba, nadhani utakua umeelewa kwa nn yanakua ya chumvi.
_Chanzo kingine ni mvua, mvua inaponyesha maji yake yana jipenyeza kuingia chini ya ardhi kitendo hichi ndicho huongeza kiwango cha groundwater, wakati wa kijipenyeza hukutana na vitu mbalimbali katika udongo ambavyo hufanya maji hayo yawe contaminated na chumvi hivyo huongeza kiwango cha chumvi.
_Chanzo kingine ni shughuli za kibinadamu kama ukulima, uchimbaji wa madini, viwanda na shughuli nyingine zinazoongeza kiwango cha kemikali zenye elements zinazosababisha chumvi kwenye maji.
Hivyo unatakiwa kujua maji unayoyachimba yamehifadhiwa kwenye mwamba wa aina gani( hydrogeologists wanauelewa katika hili)
ONYO usichimbe kisima kifupi maana utaishia kutumia maji kutoka vyoo vya mtaa mzima[emoji3][emoji2][emoji1]