Nahitaji kufahamu kuhusu kozi ya ACCA

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
Mwenye kujua ukiwa umesoma degree ya Accounting and Finance, unatakiwa kupiga mitihani ngapi kwenye ACCA. Anayejua anijuze na aniwekee list ya masomo.
 
Subiri kaka,wahasibu wanakuja kukujibu na mm nahitaji hii elimu
 
Ngoja waje wahasibu ila bila shaka utaanzia na level c au b kwa sababu umesoma account . ila ingekosa accounting ungeanza na level d bila shaka. ngoja wahasibu proffesional watupe majibu.
 
ACCA unakua exempted masomo machache na kubakisha pepa 15 CPA 10 Honestly speaking kama unaji finance mwenyew ACCA is Very Expensive
usiambiwe wala usihisi wala usione story..na kama mzee ana mpunga wa kawaida..

msamehe tuu na iyo acca ukapige cpa...

Ubaya viajana mtaani wengi sikuizi wanadanganyana ..utaskia cpa haina soko habari ya mujini acca majority ya kenyans wana acca na wanakuja kutafuta ajira huku..pata picha.
 
Inategemeana na chuo ulichosoma. Kama kiko accredited a wao (ACCA) basiukiwa na shahada y uhasibu unatakiwa kufanya masomo saba (7). Kama chuo chako kakiko accredited basi utalazimika kufanya masomo yasiyopungua kumi (10).

Hata kwa vyuo vyenye accreditation yao, ni wanafunzi wale tu waliograduate baada ya accreditation ndio wanahusika na exemption.

Kwa maelezo zaidi nenda kwenye web yao. Wameeleza kila kitu kwa ufasaha kabisa

www.accaglobal.com
 
Je ukienda na qualification ya CPA (T) , unaanzaje ? Somo ngapi zinakuhitaji ?

Kwa syllabus Mpya iliyoanza kutumika kwenye mitihani ya Nov 2014 ukiwa na CPA ni masomo mawili. Maana now CPA unafanya mitihani ya masomo 10.
 
Kwa syllabus Mpya iliyoanza kutumika kwenye mitihani ya Nov 2014 ukiwa na CPA ni masomo mawili.
Maana now CPA unafanya mitihani ya masomo 10

No, umenielewa vbaya kiongozi. Naulizia unaanzia wapi ACCA
 
Mwenye kujua ukiwa umesoma degree ya Accounting and Finance, unatakiwa kupiga mitihani ngapi kwenye ACCA. Anayejua anijuze na aniwekee list ya masomo.

SAFII MKUU ILA NI VYEMA UKAINGIA KATIKA TOVUTI YAO MAANA ACCA WANATOA EXEMPTION KUTOKANA NA CHUO ULICHOSOMA KAMA UNAKIMBIA CPA(T) UKIPATA ACCA YAKO UKIJA TANZANIA HATUKUTAMBUI KAMA WEWE NI MHASIBU LAZIMA UPIGE MITIHANI YA NBAA AMBAYO INAITWA MID TERM EXAMS PAPER TATU(BUSINESS LAW, TAXATION I NA TAXATION II NDIO UINGIE KWENYE LIST YA CPA(T). (updates za nbaa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…