Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ukienda na qualification ya CPA (T) , unaanzaje ? Somo ngapi zinakuhitaji ?
Kwa syllabus Mpya iliyoanza kutumika kwenye mitihani ya Nov 2014 ukiwa na CPA ni masomo mawili.
Maana now CPA unafanya mitihani ya masomo 10
No, umenielewa vbaya kiongozi. Naulizia unaanzia wapi ACCA
Ukiwa na CPA ya new syllabus unafanya masomo mawili tu ya ACCA.ila CPA ya module E na F unafanya masomo 6
Mwenye kujua ukiwa umesoma degree ya Accounting and Finance, unatakiwa kupiga mitihani ngapi kwenye ACCA. Anayejua anijuze na aniwekee list ya masomo.