Mr. Mkwachu Member Joined Jul 14, 2014 Posts 34 Reaction score 2 Sep 15, 2014 #1 Je Kuna madhara gani endapo Mwanaume mwenye blood group A- kuoana na Mwanamke mweye A-?? Na Je vipi kama wote ni A+??
Je Kuna madhara gani endapo Mwanaume mwenye blood group A- kuoana na Mwanamke mweye A-?? Na Je vipi kama wote ni A+??
double R JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 2,399 Reaction score 2,541 Sep 15, 2014 #2 Hakuna shida.
Mr. Mkwachu Member Joined Jul 14, 2014 Posts 34 Reaction score 2 Sep 15, 2014 Thread starter #3 Je kuna madhara gani endapo Mume akiwa na blood group A- na mke A+?? Kwa vizazi vya. Na Je endapo wote watakua A+ au A- kutakua na shida kwa watoto watakao zaliwa?
Je kuna madhara gani endapo Mume akiwa na blood group A- na mke A+?? Kwa vizazi vya. Na Je endapo wote watakua A+ au A- kutakua na shida kwa watoto watakao zaliwa?