Nahitaji kufahamu kuhusu makundi ya damu

Nahitaji kufahamu kuhusu makundi ya damu

Mr. Mkwachu

Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
34
Reaction score
2
Je Kuna madhara gani endapo Mwanaume mwenye blood group A- kuoana na Mwanamke mweye A-?? Na Je vipi kama wote ni A+??
 
Je kuna madhara gani endapo Mume akiwa na blood group A- na mke A+?? Kwa vizazi vya. Na Je endapo wote watakua A+ au A- kutakua na shida kwa watoto watakao zaliwa?
 
Back
Top Bottom