Katoro saluti,,,watu wamewekeza sana mashamba ya mitiBiashara nenda kahama au mwaza au katoro,shy labda ufanye biaahara za mifugo na uchimbaji wa dhahabu.
NI mji wa wafanyakqzi hauna harakati za kibiashara mzunguko wa kawaida sana,ila ni mji mzuri msafi na uliopangika
Usafiri mkuu ni daladala za baiskeli,wenyeji ni wasukuma jiandae kujifunza kisukuma wanapenda wanawake weupe,wa karimu sana ila hawapendi dharau.
Acha kumtisha😁Kama umepauka nashauri usiende maana utaenda kuchanganyikiwa kabisa kabisa mkuu
Katoro kumenoga harakati za kumwaga pale.Katoro saluti,,,watu wamewekeza sana mashamba ya miti
Sawa bhanaKama umepauka nashauri usiende maana utaenda kuchanganyikiwa kabisa kabisa mkuu
Kama ni kweli lazima asemeAcha kumtisha😁
achana napo hakuna mzunguko wa kipesa na watu wake n local sana kama ukisema unaenda kwa biashara ya nguo utafel ya chakula utafel sana labda tofal napenyew upambane sanaMaisha ya huko na biashara ipoje pia na watu wenyewe
Sasa ni mkoa upi??achana napo hakuna mzunguko wa kipesa na watu wake n local sana kama ukisema unaenda kwa biashara ya nguo utafel ya chakula utafel sana labda tofal napenyew upambane sana
Inasikitisha sanaAcha kumtisha😁
Wasikutishe haoSawa bhana
mimi nahitaji kujiajiri kwenye biashara sehemu ambayo ni kijijini ila kuna watu wengi ni kijiji pia kata i meanShinyanga ni kubwa sana, Shinyanga yote, ama sehemu gani?
Na unalenga, maisha ya kuajiriwa, biashara ama kitu gani?
Hii bongo wapi hakuwaki jua hatari?Kuna jua linawaka hatari
TukuyuHii bongo wapi hakuwaki jua hatari?
Naomba kufahamu mji wa shinyanga nakama kuna mwenyeji ani Pm
Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
ephen_ nisindikize Sinyanga nikamtafute huyu Bibi yako. Nahisi Wasukuma wameshamteka. Ni muda sasa hapatikani. Na ikishindakana, niruhusu nitafute mwanamke mwingine. Na huu umri siwezi kuendelea kukaa kwenye kambi ya watu wa Kataa ndoa.Kuishi na biashara