Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa Mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga

Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa Mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga

DashPNM

New Member
Joined
Jun 3, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga
Taafifa kama
1.Bei ya kukodi
2.maeneo mazuri ni wapi ( location)
3.usafirishaji wa mavuno (miundombinu ya barabara )
4. Aina nzuri ya mbegu
5.hatua za kilimo
6. Changamoto za kawaida kutokea
7.Uhifadhi wa mavuno kwa asiekuwa na ghala na gharama zake
8.makadirio heka moja inaweza kutoa mpka gunia ngapi kama hakutakuwa na bipengele
9.bei za gunia la mpunga muda wa mavuno na baada ya muda uwa bei inapanda kwa kias gan
 
Mara ya mwisho nalima kule Mbarali 2023 kukodi ekari moja ilikuwa ni 490k na competition ya kupata shamba ni kubwa balaa, kwenye mashamba ya Highland Estates (Ihefu) Kule kilimo ni uhakika mana wana umwagiliaji hawategemei mvua na miundombinu iko safi Sana. Sema ni gharama Sana kilimo cha kule mbolea nyingi, dawa nyingi, boosters nyingi, kilimo cha kisasa.
 
Nimeskia kuhusu hayo mashamba pia ila sijapata gharama kwa kias yan bei na vitu vingine kwa numbers
 
Ni maeneo yapi kwa mkoa wa Mbeya biashara ya mchele inamzunguko mzuri?

Yaani mapori ya mpunga ambayo kuna uhakika wa mzigo wa mpunga na kukoboa moja moja na kuuza palepale mashineni?
 
Nenda mwenyewe ukajionee sehemu zuri ni kapunga unashukia chimala unachukua pikipiki nauli kama sh 4000 lisaa 1 umefika
 
Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga
Taafifa kama
1.Bei ya kukodi
Inategemea na eneo. Shamba la kwenye irrigation scheme ni ghali sana. Kuna tanbarare za nje ya irrigation unakodi kati ya 50,000 na 200,000. Ila ndio hivyo mvua ikiwa nyingi ni hasara kwako.
2.maeneo mazuri ni wapi ( location)
Wilaya ya Mbarali na Chunya bonde la Rukwa; Rujewa, Madibira..... Ila ujue kwamba mpunga haustawi Mbeya pekee. Songwe-Momba, Kyela kilimo kinafanyika sana tu.
3.usafirishaji wa mavuno (miundombinu ya barabara )
Maeneo mengi yanafikika kwa barabara.
4. Aina nzuri ya mbegu
SARO 5, Na nyingine. Kuna mbegu za asili pia
5.hatua za kilimo
Hapo kipengele. Ni mlolongo wa shughuli
6. Changamoto za kawaida kutokea
7.Uhifadhi wa mavuno kwa asiekuwa na ghala na gharama zake
Kuna baadhi ya maeneo kuna maghala ya kushare. Unaweka mzigo wako unautunza hapo mpaka utakapouza
8.makadirio heka moja inaweza kutoa mpka gunia ngapi kama hakutakuwa na bipengele
9.bei za gunia la mpunga muda wa mavuno na baada ya muda uwa bei inapanda kwa kias gan
50,000 kuendelea. 80,000++ Mengi yanahitaji utafiti wa kina wa hali halisi iliyopo kwa sasa.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom