Nimeskia kuhusu hayo mashamba pia ila sijapata gharama kwa kias yan bei na vitu vingine kwa numbersMara ya mwisho nalima kule Mbarali 2023 kukodi ekari moja ilikuwa ni 490k na competition ya kupata shamba ni kubwa balaa, kwenye mashamba ya Highland Estates (Ihefu) Kule kilimo ni uhakika mana wana umwagiliaji hawategemei mvua na miundombinu iko safi Sana. Sema ni gharama Sana kilimo cha kule mbolea nyingi, dawa nyingi, boosters nyingi, kilimo cha kisasa.
Inategemea na eneo. Shamba la kwenye irrigation scheme ni ghali sana. Kuna tanbarare za nje ya irrigation unakodi kati ya 50,000 na 200,000. Ila ndio hivyo mvua ikiwa nyingi ni hasara kwako.Nahitaji kufahamu mambo muhimu kuhusu mashamba ya kukodi kwa mkoa wa mbeya mahususi kwa kilimo cha mpunga
Taafifa kama
1.Bei ya kukodi
Wilaya ya Mbarali na Chunya bonde la Rukwa; Rujewa, Madibira..... Ila ujue kwamba mpunga haustawi Mbeya pekee. Songwe-Momba, Kyela kilimo kinafanyika sana tu.2.maeneo mazuri ni wapi ( location)
Maeneo mengi yanafikika kwa barabara.3.usafirishaji wa mavuno (miundombinu ya barabara )
SARO 5, Na nyingine. Kuna mbegu za asili pia4. Aina nzuri ya mbegu
Hapo kipengele. Ni mlolongo wa shughuli5.hatua za kilimo
Kuna baadhi ya maeneo kuna maghala ya kushare. Unaweka mzigo wako unautunza hapo mpaka utakapouza6. Changamoto za kawaida kutokea
7.Uhifadhi wa mavuno kwa asiekuwa na ghala na gharama zake
50,000 kuendelea. 80,000++ Mengi yanahitaji utafiti wa kina wa hali halisi iliyopo kwa sasa.8.makadirio heka moja inaweza kutoa mpka gunia ngapi kama hakutakuwa na bipengele
9.bei za gunia la mpunga muda wa mavuno na baada ya muda uwa bei inapanda kwa kias gan