Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
Kiume, dukaniNguo gani?
Wapi?
Mtumba?
Dukani?
Za kike?
Wanaume?
Watoto?
Masharobaro?
1.customer care,
2.bei nzuri na
3.jaribu kuuza quality na kwa wakati, kiukweli wengi wanapoteza wateja kutokana na vitu nilivyotaja 1 na 2.
Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.Wadau wa JF
Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyoitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi?
Nguo za kiume za dukani.
Chupi za kike dozen moja unauzaje kwa mfano.Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Biashara hii Ina faida ya kuanzia 50% hadi 100% na kuendelea.
Dukani kwetu Tunauza bidhaa hizo kwa Jumla Kwa kuanzia Nusu Dozen.
Na tuna saidia kutuma mzigo wako Popote tanzania.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp/simu #0743207176View attachment 1736465
Swali nzuri sana.Chupi za kike dozen moja unauzaje kwa mfano.
5M ni wastan mzuri ila kama uta sponsor biashara kutumia FB page na Insta ,, wateja utaowaata walete Whatsap na utengeze group la kutuma bidhaa kila siku itakulipa ila zaidi uwe na maoni mbali Ideas zipo nyingi zingine utapata utapozidi kufanya ....
Ww utakua mgeni wa hii biashara million 5 Kwa biashara ya nguo aisee ni pesa ndogo sana labda asiwe na frem amwage nguo chini
Unaopoanza biasharab unanza na wastani ,,Biashara ya nguo ni biashara ambayo inahitaji flam ya location na sio wing wa mavazi yan nikimaniisha kuwa ukuweka milion 20 dukan wakati fashion inaisha miez miwili ijayo jua umeingia lossWw utakua mgeni wa hii biashara million 5 Kwa biashara ya nguo aisee ni pesa ndogo sana labda asiwe na frem amwage nguo chini
Chupi za kike nzuri kwa wastani ni shillingi 9,000/= Kwa Dozen / 12Pcs.Chupi za kike dozen moja unauzaje kwa mfano.
Na sisi tunaouza quality mkuuChupi za kike nzuri kwa wastani ni shillingi 9,000/= Kwa Dozen / 12Pcs.
Japo zipo zingine za shillingi 5,500/= kwa Dozen / 12Pcs. Na ni za size ya kati.
Ambazo kwa dar maeneo ya kariakoo kwenye watu wengi Sana ambayo inauzwa na machinga kwa 1,000/= kwa moja.
Na mtaani nje ya kariakoo ni mtaani huko inauzwa 1,500/= mpaka 2,000/=
Wasiliana nasi kwa simu / Whatsapp # 0743207176
Mdau mimi ni nauza hizi za kawaida Na bei zake ni za kawaida.Na sisi tunaouza quality mkuu
Mkuu mikoani si mnatuma mi ntafanya mpango nikutumie doo wewe unitumie.Chupi za kike nzuri kwa wastani ni shillingi 9,000/= Kwa Dozen / 12Pcs.
Japo zipo zingine za shillingi 5,500/= kwa Dozen / 12Pcs. Na ni za size ya kati.
Ambazo kwa dar maeneo ya kariakoo kwenye watu wengi Sana ambayo inauzwa na machinga kwa 1,000/= kwa moja.
Na mtaani nje ya kariakoo ni mtaani huko inauzwa 1,500/= mpaka 2,000/=
Wasiliana nasi kwa simu / Whatsapp # 0743207176