Nahitaji kufahamu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo

Digging deeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
787
Reaction score
512
Wadau wa JF

Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyohitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi?

Nguo za kiume za dukani.

1618302443053.png
 
Wadau wa JF

Naomba ushauri wenu vitu muhimu vinavyoitajika katika biashara ya nguo, mtaji kiasi gani, changamoto za hii biashara ni zipi?

Nguo za kiume za dukani.
Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Biashara hii Ina faida ya kuanzia 50% hadi 100% na kuendelea.

Dukani kwetu Tunauza bidhaa hizo kwa Jumla Kwa kuanzia Nusu Dozen.
Na tuna saidia kutuma mzigo wako Popote tanzania.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp/simu #0743207176
JPEG_20210328_105438_-1560221653.jpg
 
Fanya Biashara ya kununua na kuuza nguo za ndani za, na hasa zile za bei za kawaida za kike na kiume wakubwa na watoto kutoka Dar kariakoo.
Biashara hii Ina faida ya kuanzia 50% hadi 100% na kuendelea.
Dukani kwetu Tunauza bidhaa hizo kwa Jumla Kwa kuanzia Nusu Dozen.
Na tuna saidia kutuma mzigo wako Popote tanzania.
Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa whatsapp/simu #0743207176View attachment 1736465
Chupi za kike dozen moja unauzaje kwa mfano.
 
5M ni wastan mzuri ila kama uta sponsor biashara kutumia FB page na Insta ,, wateja utaowaata walete Whatsap na utengeze group la kutuma bidhaa kila siku itakulipa ila zaidi uwe na maoni mbali Ideas zipo nyingi zingine utapata utapozidi kufanya ....

Wewe utakua mgeni wa hii biashara million 5 Kwa biashara ya nguo aisee ni pesa ndogo sana labda asiwe na frem amwage nguo chini.
 
Ww utakua mgeni wa hii biashara million 5 Kwa biashara ya nguo aisee ni pesa ndogo sana labda asiwe na frem amwage nguo chini

Unaopoanza biasharab unanza na wastani ,,Biashara ya nguo ni biashara ambayo inahitaji flam ya location na sio wing wa mavazi yan nikimaniisha kuwa ukuweka milion 20 dukan wakati fashion inaisha miez miwili ijayo jua umeingia loss

So tunachofanya hua tunakua na marafiki wa aina moja unachopost sicho kilichopo dukan kwako ila kwa mwenzako kipo. huwez kuangusha 20M wakat unaanza nmemwambia

Mimi nmeanzia kupost picha tu na sina duka 2017 najua kuliko unavodhani ,,,,, we unaongelea biashara ya lugha ya picha

Kama unauza nguo ... kwann unatumia hii lugha ya ( unataka pic ngap nikufatie store au size gani )

Nimempa wazo la kufanya biashara kwa passion sio wazo la kuanza na biashara ya mavazi ....
 
Chupi za kike dozen moja unauzaje kwa mfano.
Chupi za kike nzuri kwa wastani ni shillingi 9,000/= Kwa Dozen / 12Pcs.

Japo zipo zingine za shillingi 5,500/= kwa Dozen / 12Pcs. Na ni za size ya kati.

Ambazo kwa dar maeneo ya kariakoo kwenye watu wengi Sana ambayo inauzwa na machinga kwa 1,000/= kwa moja.

Na mtaani nje ya kariakoo ni mtaani huko inauzwa 1,500/= mpaka 2,000/=

Wasiliana nasi kwa simu / Whatsapp # 0743207176
 
Na sisi tunaouza quality mkuu
 
Mkuu mikoani si mnatuma mi ntafanya mpango nikutumie doo wewe unitumie.
 
Chukua hii namba unicheck whatsup 0629502276 uaminifu ndio nguzo kuu mkuu.
 
Back
Top Bottom